Sunday, August 25, 2013
WILAYA YA CHAMWINO YAZINDUA RASMI UFUGAJI KUKU KIBIASHARA
           Mh. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatuma Ally  Akitoa  Muhtasari wa  Mafunzo ya Kuku -Kibiashara kwa Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Dr.Rehema Nchimbi. 
*************************************************************************************************************
Hatimae Mh. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatuma Ally jana tarehe 24/08/2013 amezindua rasmi ufugaji wa kuku kibiashara wilayani Chamwino na kwa kuwa na Chama kimoja cha ushirika Chenye wanachama wasiopungua mia mbili ambacho tayari kimeundwa.
Mkutano huo wa aina yake uliokutanisha viongozi,Mabenki,NGOS,wakulima,wafugaji,Wenye maduka,mama Ntilie,Wenye mabucha,wachuuza kuku,Wenye hoteli,Wenye mashine za kusaga na kukamua mafuta na wataaalamu wa mifugo .
Mkutano huo ulikuwa katika sura yenye kuonyesha bayana dhana ya " SMARTPARTNERSHIP" kwa kuwa na mfumo wa shughuli zote ndani ya MNYORORO WA THAMANI wa kuku kwa kufanywa na wana CHAMWINO kukidhi na kufikia mahitaji ya soko .
**************************************************************************************************************************

  Mh. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatuma Ally  Akiwasilisha Mada ya Ufugaji kuku kwa mfumo  wa  BARIADI
Katibu wa Wilaya ya Chamwino (wa kwanza kushoto ) Bi. Juliana Kilasara akibadilishana mawazo na Afisa  Usalama wa Wilaya ya Chamwino (Katikati)  pamoja na Meneja wa Dodoma Hotel (Kulia) muda mfupi kabla  ya Mafunzo hayo kuanza hapo jana.
    Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini  wakati Mkuu wa Wilaya alipokuwa akiwasilisha Mada.
   Mh. Mkuu wa Wilaya akiendelea   na Uwasilishaji wa Mada .....
Afisa Biashara wa Halmashauri ya Chamwino  akiwasilisha Mada yake  kwa kubainisha Mambo muhimu ya kuzingatia katika Biashara ya Ufugaji wa Kuku
    Katibu wa Kikundi cha  Ufugaji kuku  kijiji cha Chilonwa  Akisoma  Taarifa ya kikundi hicho.  
    Wakati wa Majadiliano.......Maoni ,Ushauri na Maswali kutoka kwa Baadhi ya washiriki.............
Maoni ,Ushauri na Maswali kutoka kwa Baadhi ya washiriki............
Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini mafunzo hayo............
   Mwakilishi wa Akiba Commercial Bank akieleza nafasi ya Benki hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
  Mwakilishi wa NMB akieleza nafasi ya Benki hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.Mwakilishi wa TOAM akieleza nafasi ya taasisi hiyo hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
"Tunasikiliza kwa Makini..... "
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chamwino  akitoa mtizamo wake juu ya Mafunzo ya ufugaji kuku kibiashara  katika Wilaya ya Chamwino.
   Mwakilishi wa  INADES akieleza nafasi ya taasisi  hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
Mwakilishi wa Action  Aid akieleza nafasi ya Taasisi  hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
   Afisa Tarafa  wa Tarafa ya Chilonwa Bi. Doris Kavindi  akisoma na kuelezea Historia fupi ya Ufugaji kuku Katika tarafa hiyo.
 Afisa Tawala Wilaya ya Chamwino Bw. Remidius Emmanuel  Akielezea  uzoefu wa Ufugaji kuku nchini Tanzania, Kenya ,Uganda, Bangladesh na nchi mbalimbali za Uarabuni  (aliwasilisha uzoefu huo kwa kutumia Video mbalimbali)
  Afisa Mifugo  wa Halmashauri ya Chamwino  Dr. Richmond Urasa  Akiwasilisha mada juu ya ufugaji endelevu  wa kuku na mbinu za kupambana na changamoto  Wilayani Chamwino.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chwamwino (Aliyesimama)  akiendesha shughuli nzima   ya jana kama  MC
Subscribe to:
Comments (Atom)