Pages


Photobucket

Tuesday, December 3, 2013

TAJIRI WA KWANZA TANZANIA KAWA NAFASI YA 27 AFRICA KATI YA WATU 50 AFRICA NZIMA.....UNATAKA KUMJUA?

dangote
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na vyanzo vya pesa zao,umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki. List imekuwa topped na mnigeria Aliko Dangote(kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki list yote hapa
1

2
3
4
5

No comments:

Post a Comment