Pages


Photobucket

Saturday, March 2, 2013

HUU NI UJASIRI WA AJABU..... NI KUHUSU KUTEMBEA JUU YA MOTO...

Picture
  Wafanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd(MCL), wachapishaji wa Gezeti hili, The citizen na Mwanaspoti, kutoka kundi la kwanza, wakitembea katika moto wakati wa mafuzo ya utamaduni,’culture training’ yanayoendelea na Katika hotel ya beach comber Dar es Salaam na kujumuisha wafanyakazi mbali mbali kutoka mikoa yote nchini, mafunzo hayo ni katika kuwazesha kujijengea ujasiri. (Picha na Jackson Odoyo/MWANANCHI)

No comments:

Post a Comment