WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA NA WATOTO APOKELEWA WIZARANI BAADA YA UCHAGUZI WA UWT TAIFA
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akipokea shada
la maua kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Bi. Judith Kizenga mara baada ya
kupokelewa Wizarani hapo baada ya ushindi wake wa Uenyekiti wa UWT
Taifa
Mhe.Waziri Sohia Simba akisalimiana na Watumishi wa Wizara
Mhe.Sophia
Simba,Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto akiwasikiliza kwa
makini Watendaji wakuu wa wizara mara baada ya mapokezi
Mhe.Sophia
Simba Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto ambaye pia ni
Mwenyekiti wa UWT Taifa akiwashukuru Watendaji wa Wizara kwa mapokezi
mazuri Wizaran hapo
Watumishi
wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto wakisubiri kumpokea
Mhe.Sophia Simba baada ya kushinda nafasi ya Mwenyekiti wa UWT Taifa
No comments:
Post a Comment