Msemaji wa AMISOM, Kanali Ali Adan Hamud,
alisema AMISOM imekaribisha ombi hilo na kwamba AMISOM imeamua kuondoka
kwenye uwanja huo ufikapo mwezi wa Disemba mwaka huu.
Uwanja huo umekuwa kambi ya askari wa AMISOM tangu Agosti mwaka jana.
Kabla ya hapo ukitumiwa na wapiganaji wa Al-Shabab na mapambano makali yamewahi kutokea kwenye eneo la uwanja huo.
****SOURCE BBC****
No comments:
Post a Comment