KASHESHE LA HURRICANE SANDY NCHINI MAREKANI (HII SIO MAREKANI UNAYO IFAHAMU)

Eneo la Atlantic City tayari likiwa limevamiwa jana mida ya
saa tisa mchana ambapo kilitarajiwa kuungana na vimbunga vingine
viwili kutoka kaskazini na kusababisha hali mbaya ya hewa kwa kutanda upana wa kilomita 1,200 na kuathiri wakazi milioni 60.
Mitaa ya Norfolk, Virginia kukiwa kumezongwa na wimbi la Hurricane Sandy
Atlantic City kukiwa kumeshavamiwa na kimbunga (siku ya jana)
Wakazi wa mji wa Milford, Connecticut wakionekana kusukuma gari
lililonasa katika Maji yaliosababishwa na Kimbunga kilichoendelea baadhi
maeneo ya mashariki mwa Marekani siku ya jana
Mti uliopata dharuba ya kimbunga katika mitaa ya Hoboken,jijini New Jersey

Hali ilitia kutia simazi dhidi ya dhoruba ya kimbunga kikali
Maeneo ya Mashariki mwa Marekani hii hapa picha ya
nyumba ilioelemewa na Mti mkubwa katika maeneo Delaware County, Jijini
Pennsylvani ( siku ya jana)
Rais Obama ikiteremkakutoka katika ndege (Air Frce One) siku ya jana mara baada ya kuwasili Andrews .
TASWIRA YA KIMBUNGA HICHO KATIKA PICHA
No comments:
Post a Comment