MKE WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ,MAMA TUNU ALIPOTUNIKIWA SHAHADA YA UONGOZI WA BIASHARA
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela
akimtunuku Shahada ya Uongozi wa Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu
Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja
vya Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela
akimtunuku Shahada ya Uongozi wa Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama
Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye
viwanja vya Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya ua kutoka
wadogo zake Salma Rehani (kulia), Mkaroga Rehani (wapili kulia) na Mabe
Rehani baada ya kutunukiwa Shahada ya Uongozi wa Biashara katika
mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye vianja
vya Chuo hicho, Kibaha Oktoba 27, 2012
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na baadhi ya wahitimu wa mahafali hayo yaliyofanyika jana Kibaha mkoani Pwani
Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania
Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia kwenye
mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika Kibaha, Oktoba 27, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
No comments:
Post a Comment