
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi maalum Mwakilishi kutoka
chama tawala cha Zimbabwe Chipanga Kudzanai, kutambua mchango wa chama
hicho kwa CCM, wakati wa Mkutano Mkuu wa nane wa Umoja wa Vijana wa CCM
(UVCCM) leo Okt 23, mjini Dodoma.
Mjumbe kutoka mkoa wa Mwanza, akipiga kura kuchagua Mwenyekiti, wakati wa Mkutano Mkuu wa UVCCM mjini Dodoma
Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela akitoa utaratibu kabla ya kuanza uchaguzi mkuu wa jumuia hiyo leo mjini Dodoma
Shamra shamra zikihanikiza kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere katika mkutano wa nane wa UVCCM mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano Mkuu wa nane wa Umoja wa Vijana wa CCM mjini Dodoma leo
Wagombea
waliokuwa wanawania nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM. Kutoka kushoto, Lulu
Abdalla Mshamu ambaye alijitoa wakati akijieleza kwa wajumbe,Khamis
Sadifa Juma na Msaraka Rashid Simai ambao ndio waliochuana
No comments:
Post a Comment