Pages


Photobucket

Tuesday, July 2, 2013

HIVI NDIVYO BARACK OBAMA ALIVYO WAAGA WATANZANZANIA

  Rais Barack Obama akionyesha kipaji chake katika soka ,wakati alipotembelea kituo cha kuzalisha umeme cha ubungo

                    TASWIRA KATIKA PICHA WAKATI BARACK  OBAMA  AKIJIANDAA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE  WA MWL JK. NYERERE


 Rais Barack Obama akipata ufafanuzi  wa jambo flani  ,katika kituo cha kuzalisha umeme cha ubungo



 Rais Barack Obama  akielekea katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa JK .Nyerere tayari  kuanza safari ya kurejea Marekani

              Kwaherini  Tanzania..........................!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment