Mhe, Remidius M. Emmanuel (Rais wa Serikali ya wanafunzi CBE ya Dodoma)
akiwa na baadhi ya viongozi katika kituo cha Watoto Yatimu cha Miyuji
leo tarehe 24/12/2013 mnamo saa tano asubuhi (JANA), akitoa pongezi kwa Mlezi
wa kituo hicho Sister Glory Shayo kwa kulea watoto hawa. Rais
aliwasilisha baadhi ya vitu kwaajili ya watoto hao
"Napenda tuwe mfano mzuri ndani na nje ya chuo, hata Mkoa kuwatembele
watoto hawa kujiona nao ni sehemu ya jamii kiujumla" Maneno ya Rais.
VILIVYOTOLEWA NI;
Mchele kilo 50
Ngano kilo 50
Mafuta kula lita 20
Mafuta ya kujipata dazan 1
Maji carton 2
Mhe, Yohana akimsikiliza Mhe, Remidius M. Emanuel anavyo toa zawadi hizo
Watoto hawa wakiongea na ndugu Dominicky Stephano na nyuso zao zikionekana ni za furaha
Waziri wa Fulsa na Mipango Mhe, Riziki Shaweji akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe, Simba
Zawadi zilizo tolewa
Mhe, Rais akikabidhi zawadi hizi kwa mlezi wa kituo hiki
Rais akiwa na watoto hawa akionyesha upendo kwa watoto Yatima
Hii ni nembo ya kituo hiki iyonacho sadifu mazingira harisi ya watoto wanolelewa mahari hapa.
Mhe Ignas alipata bahati ya kutembelea shamba la mboga mboga hili ni
shamba ambalo kituo kimeweza kuliwekeza kwa ajili ya kilimo hiki cha
mboga mboga:
Hakuna mahari popote duniani panapoweza kuondokana na janga la njaa
pasipo kuwekeza katika kilimo vivyo hivyo hivyo katika kituo hiki
wameamua kupigana na adui njaa kwa kujiandalia mazao yao: Tazama mashamba haya:
No comments:
Post a Comment