Bw, Musa Mdede -Rais waChuo kikuu cha Bugando (Katikati)
Akizungumza Mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya
Mwenyekiti wa TAHLISO 2013/2014
Bw.Musa Mdede ameibuka Kidedea katika hatua ya pili baada ya kupata kura 18, akifuatiwa na Rais wa St. John Dodoma Bw, Katumbi Edmund kupata kura 7 akifuatiwa na Bw.Hemed Ally Rais wa IFM aliyepata kura 6.
Ingwa katika hatua ya kwanza wagombea wa nafasi hiyo walikuwa ni Watano,Ambapo matokeo yao ya awali Musa Mdede (Kura 16),Hemed Ally (kura 7) ,Katumbi Edmund (Kura 5) ,Bi. Tusubilege Benjamin (Makamu wa Rais wa UDSM -Kura 3) na paschal Mlela( kutoka chuo cha Theophilo Kisanje Mbeya - kura 3) .Hali hiyo ilifanya jumla ya kura kuwa 34 na kati ya wagombea wote katika hatua ya kwanza hakuna aliyefikisha zaidi ya asilimi Hamsini (50%) hivyo kuufanya uchaguzi kurudiwa katika nafasi hiyo kwa washindi watatu wakwanza katika hatua ya pili.

Muonekano wa Viongozi wapya wa TAHLISO 2013/2014,kutoka kulia ni
Mhazini Bw.Mollel Hilary (Kutoka Chuo cha Kodi Dae es salaam),Bi.Halima
Bakari -Katibu Mkuu(Kutoka chuo cha AMUCTA-Tabora),Makamu Mwenyekiti
Bw.Abdul Mohamed (Rais wa Chuo cha kikuu Zanzibar),Mwenyekiti Bw.Musa
Mdede (Rais Chuo kikuu Bugando) na Naibu Mhazini Bw.Khamis Hamza
(kutoka Chuo kikuu cha Zanzibar)
Mwenyekiti Anayemaliza Muda wake Bw. Amon Chakushemeire akizungumza maneno machache baada ya Mwenyekiti mpya kutangazwa.
No comments:
Post a Comment