Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna, akihutubia katika Kongamano hilo na kumkaribisha Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kufungua Kongamano hilo katika ukumbi wa hoteli ya Lagema Zanzibar.
Balozi wa Oman Nchini Tanzania Balozi Yussuf Ak Bakry, akitowa salamub za Nchi yake katika Ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Historia ya Ustaarabu wa Uislam, katika ufunguzi wa Kongamano hilo katika ukumbi wa hoteli ya Lagema Nungwi Zanzibar
No comments:
Post a Comment