CHADEMA ikiongozwa na kamanda Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini na
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa wamekabidhiwa kiwanja cha ekari 3 cha
kujenga hospitali ya Mama na Mtoto.

Hii ni utekelezaji wa ahadi aliyowa kuwaahidi wananchi wa Arusha katika
uchaguzi wa 2010. Kiwanja hicho chenye thamani ya dolla za kimarekanai
USD300,000 sawa na Tsh 480,000,000/ kimekabidhiwa na kampuni ya Mawala
Advocates waliowakilishwa na moja ya mawakili na wakurugenzi wa kampuni
hiyo.

No comments:
Post a Comment