Pages


Photobucket

Friday, February 8, 2013

HIVI NDIVYO MELI YA MV VICTORIA ILIVYO NUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

Juhudi zikiendelea kwa maafisa wa kikosi hicho kuhakikisha moto huo hausambai katika maeneo mengine ya Meli ya Mv Victoria.
 
 Maafisa wa kikosi hicho hapa wamefanikiwa kuzama chini ghalani melini humo kunyunyiza maji zaidi kuhakikisha moto huo hausambai katika maeneo mengine ya Meli ya Mv Victoria.
 Maafisa wa kikosi hicho hapa wamefanikiwa kuzama chini ghalani melini humo kunyunyiza maji zaidi kuhakikisha moto huo hausambai katika maeneo mengine ya Meli ya Mv Victoria.
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizo naswa toka kwa wafanyakazi wa Meli hiyo ambao hawakutoa ushirikiano kuzungumza na waandishi wa habari, zilizonaswa wakati wakilaumiana zimeleeza kuwa mafundi wa kampuni hiyo walikuwa wakichomelea katika moja ya vyumba vya chini vya Meli hiyo ndipo cheche za moto zilipopenya na kuangukia katika sehemu ya pili ya kuhifadhia mizigo na kuanza kuwaka.
 Juhudi za ushushaji mizigo iliyoungua zikiendelea.
 Hata hivyo moto huo uliodumu kwa saa kadhaa ulifanikiwa kuzimwa ndipo juhudi za kuyatoa magodoro na mito yote ya makochi yaliyokuwemo ndani ya hifadhi ya mizigo ili kuhakiki uharibifu pamoja na kufanya tathimini kwa mali zilizo haribika.
 Wafanyakazi wa MSC wakitumia mashine maalumu ya kushushia mizigo ya kampuni hiyo wakitoa mabaki ya vitu vilivyounguzwa na moto.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA

IMG-20130208-00767 8aa3d

IMG-20130208-00768 fbe77
IMG-20130208-00769 423a5IMG-20130208-00770 8f734

IMG-20130208-00771 a5daf
IMG-20130208-00772 65756IMG-20130208-00773 d4a7c

IMG-20130208-00774 e432f
IMG-20130208-00775 71d5b

Tuesday, February 5, 2013

kikao kazi cha maafisa habari wa serikali chaanza dodoma

Picha na 7 f660a
Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakiendelea na kikao kazi chao kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi Mjini Dodoma.
Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.

Picha na 1 f90c5

Waziri wa Habari, Vijana ,UtamaduninaMichezoDkt. Fenella Mukangara akifungua mkutano wa maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa serikali mjini Dodoma. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi   kwa kuzingatia weledi na kutoa taarifa sahihi kwa umma mara kwa mara kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na serikali.
Picha na 2 5c000
Maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja naWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo mara baada ya ufunguzi wa kikao kazi hicho  mjini Dodoma.
Picha na 3 958db
Afisa Habari wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa HesabuzaSerikali  Sarah Reuben akichangia moja ya mada katika kikao kazi cha Maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Serikali mjini Dodoma.

VURUGU ZATAWALA BUNGENI MPAKA KUSABABISHA KUAHIRISHWA KIKAO CHA BUNGE JANA JIONI

  Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Tundu Lissu, alipotoka ndani ya ukumbi wa Bunge jana jioni.
 Wabunge wa upinzani waliposimama kupinga hoja wakati wa kikao cha Bunge kilikuwa kinaendelea, mjini Dodoma jana.
 Wabunge wa upinzani wakisimama wote kwa pamoja ukumbini.
 Naibu Spika Job Ndugai (kulia) akijadiliana jambo katika makabrasha na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari, baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge baada ya kutokea kutoelewani ukumbini humo, wakati wabunge wa upinzani walipokuwa wakipinga hoja.
Tundu Lissu na Mchungaji Msigwa (kushoto) waliposimama kupinga hoja ya spika wabunge



WABUNGE wa upinzani jana walizua tafrani bungeni na kusababisha kikao kilichokuwa kikiongozwa na Naibu Spika, Job Ndugai kuvu njika kabla ya muda uliokuwa umepangwa.
Wabunge hao wa upinzani walisimama wote kwa pamoja na kuanza kupiga kelele za kupinga hatua ya Ndugai kuruhusu kujadiliwa kwa hoja ya Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.
Profesa Maghembe katika hoja yake ambayo iliungwa mkono na wabunge wa CCM, alikuwa akipendekeza kuo ndolewa bungeni kwa hoja binafsi iliyokuwa imewasilishwa mapema na Mbunge Ubungo (Chadema), John Mnyika.

Mnyika katika hoja yake alikuwa akitaka Bunge lia zimie kuitaka Serikali ichukue hatua za haraka ya kuboresha upatikanaji wa majisafi na ushughulikiaji wa majitaka katika Jiji la Dar es Salaam.

Baada ya Ndugai kuruhusu hoja ya Profesa Maghembe kujadiliwa badala ya hoja ya Mnyika, wabunge wa upi nzani walisimama na kuanza kupiga kelele za kupinga kile walichodai kwamba ni Naibu Spika kuvunja kanuni ambazo anapaswa kuzisimamia.

Ilivyokuwa
Profesa Maghembe aliyekuwa mchangiaji wa kwa nza katika hoja ya Mnyika alitoa kauli kwamba Serikali inaendelea kukamilisha miradi mbalimbali ya maji jijini Dar es Salaam, hivyo kutaka hoja ya Mnyika iondolewe.

Kabla ya kutamka maneno hayo, tayari wabunge wa upinzani bila kujali vyama vyao walikuwa wameanza kumzomea na kupiga kelele kiasi kwamba maneno yake ya mwisho hayakusikika.

Baada ya hapo alisimama Naibu Spika na kuwataka wabunge watulie ili waanze kuchangia hoja hiyo na alimtaka Mnyika kuzungumza, lakini kabla ya Mnyika, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee alisemama na kuanza kuzungumza baada ya Naibu Spika kumruhusu.

“Mheshimiwa Naibu Spika naona mwendelezo wa uvunjwaji wa taratibu na kanuni za Bunge, hoja binafsi zinaratibiwa na kanuni ya 57 na 58,”alisema Mdee na kuongeza;
“Kanuni hizi mbili ukizisomaoi Waziri anatakiwa kueleza kipengele gani kitoke…….”

Kabla Mdee hajamaliza kueleza Naibu Spika, alisimama na kumtaka Mnyika achangie kama alikuwa ana la kusema, lakini akamkatisha na kelele zikaanza bungeni.
Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani, Tundu Lissu alisimama kutaka utaratibu, lakini Naibu Spika Ndugai alimkatisha kisha akasema “Waswahili wanasema kuchamba kwingi……”

“Wewe ni “Chief Whip” (Mnadhimu Mkuu) upande wa Serikali umetoa hoja na sisi tunachangia hivyo tunachangia sasa,” alisema Naibu Spika na kumwita Mdee aendelee kuchangia.

Hata hivyo, Mdee alikataa na Naibu Spika alimwita Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Zarina Madabida kuendelea kuchangia.“Mheshimiwa Naibu Spika nakushukuru kwa kunipa nafasi na naipongeza Serikali kwa kazi nzuri inayoifanya,” alisema Madabida, lakini kabla hajaendelea baadhi ya wabunge wa upinzani wa lianza kutaka kutoa taarifa na kusimama wakati Naibu Spika naye amesimama hivyo Bunge kukwama kuendelea kwa muda.


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick We rema alisimama na wakati alipoanza kuzungumza wabunge wote wa upinzani walianza kuimba CCM, CCM, CCM huku wakigonga meza.
Kitendo hicho kilisababisha Jaji Werema kwenda kwenye meza ya Spika ili azungumze na Naibu Spika, lakini ke lele ziliendelea na Ndugai akasema, “Siahirishi Bunge ili Watanzania wajue nani anavuruga na wajue pia mbivu na mbichi.”
Aliwataka wabunge wa liokuwa wakiimba na kupiga kelele kuendelea huku shughuli za Bunge zikiwa zimesimama kwa muda.

Baada ya mazungumzo mafupi kati ya Werema na Ndugai, Naibu Spika alisimama na kuhoji wangapi wanau nga mkono hoja ya Serikali na wangapi wanaikataa hoja ya Mnyika kitendo ambacho hakikueleweka, lakini Ndugai akasema hoja imeondolewa.

“Naliahirisha Bunge nataka Kamati ya Uongozi ya Bunge kukutana,”alisema Ndugai huku wabunge wa upinzani wakiwa wanapiga kelele.
Hata hivyo, Werema alisema kuwa Bunge litamwajibisha, Lissu kwa kutoa lugha ya matusi bungeni.

Mvutano asubuhi
Wakati hayo yakitokea katika katika kikao cha jana asu buhi mvutano mkubwa uliibuka pale baadhi ya wabunge walipokuwa wakilumbana kiasi cha kutoleana maneno ya kashfa, kinyume cha Kanuni za Bunge.

Malumbano hayo yaliwahusisha Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu dhidi ya Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla, mvutano ulitokana na majada wa hoja binafsi ya Kigwangalla.

Katika hoja yake mbunge huyo alilitaka Bunge kupitisha azimio la kuitaka Serikali ianzishe mpango maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha mfuko wa mikopo ya vijana wanaowekeza kwenye kilimo na viwanda vyenye uhusiano wa moja kwa moja na kilimo.
Katika mchango wake, Lissu aliishambulia hoja hiyo kwa kusema kuwa haikuwa na msingi wa kuwasaidia vijana na badala yake ilikuwa ni hoja ya ‘kutongozea kura za mwaka 2015’.

Jana Lissu pia alitoa taarifa kwamba hoja hiyo ya Dk Kikwangalla haikuwa na ubinifu kwani wakati akipendekeza kuundwa kwa mfuko wa mikopo, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk Fenella Mukangara alisema mfuko wa vijana umekuwapo tangu 1994.
Kutokana na kauli hizo, Kigwangalla alipokuwa akihitimisha hoja yake, alimshambulia Lissu kwa kusema:

“Tundu Lissu ni mnafiki, kazi yake ni kupinga kila kitu kinacholetwa mbele yake hata kama ni kizuri yeye anafanya kazi ya kupinga, lakini nasema kuwa ana matatizo na mimi kama daktari wake nayajua.”

Vuta nivute hiyo, ilisababisha wabunge John Mnyika, Moses Machali, Felix Mkosamali, Ester Bulaya na David Silinde kusimama na kupiga kelele za kuomba mwongozo wa Spika.

Hata hivyo, mbunge huyo aliwashambulia wabunge hao kwa kusema “Mheshimiwa Naibu Spika, tulishaambiwa hapa na Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kuwa wanaume wanapozungumza lazima vijana wanyamaze, naomba wabunge wote waliosimama wakae chini niwape dozi.”


MWANANCHI

MEZA YA MAGAZETI LEO JUMANNE

IMG-20130205-00712 aa645

IMG-20130205-00713 5dddb


IMG-20130205-00714 517b3
IMG-20130205-00715 d88a4
IMG-20130205-00716 db881
IMG-20130205-00717 b040d
IMG-20130205-00718 6cfc8
IMG-20130205-00719 a640c
IMG-20130205-00720 d55d7
IMG-20130205-00721 591e3
IMG-20130205-00723 12853
IMG-20130205-00724 64704
IMG-20130205-00725 796b3
IMG-20130205-00726 050e4

Bunge limelazimika kusitisha shughuli zake hadi kesho....

Raila party to go it alone in Western region

By Peter Atsiaya 

Kakamega KENYA: Planning minister Wycliffe Oparanya has said a decision by CORD to allow affiliate parties to field candidates separately would affect their campaigns in Western region.
Planning Minister Wycliffe Oparanya
Planning Minister Wycliffe Oparanya
Mr Oparanya said ODM leaders would not team up with Trade minister Moses Wetangula of Ford-Kenya and Federal Party of Kenya’s Cyrus Jirongo in their campaigns for various candidates.
“ODM has decided to go it alone in Western region because we want to win more elective seats,” said Oparanya.
The minister was addressing the Press at Nabongo Mumias Mausoleum in Matungu constituency where he unveiled a campaign programme for ODM in the region.
He was accompanied by ODM Kakamega senatorial candidate Prof Khasiani Shianyisa and party’s Matungu parliamentary candidate Paul Posho. Mr Wetangula is the third principal in CORD that also has Vice-President Kalonzo Musyoka.
Mr Jirongo shelved his bid for presidency and had his party join CORD. He will be running for the Kakamega senator’s seat.
Speaking to the Press after IEBC cleared him to contest at Kakamega High School last week, Jirongo said his party had taken root in the region and would win a sizeable number of elective seats.
Wetangula recently met candidates vying for various seats on a Ford-Kenya ticket in Bungoma and rolled out their campaigns.

Reform agenda
Meanwhile, Prime Minister Raila Odinga’s bid to win the Western region votes got a boost after a group of professionals from the region backed his presidential bid.
Western Professionals for Reform (Wefor) said they would not support Amani presidential candidate Musalia Mudavadi because he was not capable of pushing the reforms agenda.
“Implementing reforms is not an easy task because those opposed to change would put up serious resistance that requires a courageous leader to overcome,” said Wefor chairman Joseph Simekha.
Source: The Standard